TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

The Era (gazeti)

The Typologically Different Question Answering Dataset

The Era ilianzishwa katika mwaka wa 1838 na muungano wa wanahisa ,baadhi yao waliokuwa wasambazaji wa bidhaa na watu wengine waliohusika na biashara yao. Jarida hili lilikuwa likilengwa kuwa chombo cha kuwasilisha habari ya kila wiki kama vile gazeti la Morning Advertiser lilivyokuwa chombo cha kutumika kila siku. Katika miaka miwili mitatu hivi ya kuwepo kwa gazeti hili, msimamo wake wa kisiasa ulikuwa wa kukubali siasa yoyote. Mhariri wake wa kwanza, Leitch Ritchie, alionekana kuwa huru sana na bodi ya wakurugenzi na kuongezea migogoro ya wahariri, gazeti hilo lilifeli. Frederick Ledger alichukua nafasi ya Ritchie na akawa mwendeshaji pekee na, vilevile, mhariri wa gazeti hilo. Alihariri jarida hili kwa zaidi ya miaka thelathini, likibadilisha siasa yake kutoka kukosa msimamo wowote hadi kuwa na msimamo wa uhafidina. Siasa, hata hivyo, ilikoma kuwa suala kubwa kwa The Era. Habari zake kuu, ikiwa chini ya Ledger,zilikuwa michezo ,dini ya freemason</i>na michezo ya kuigiza. Msomaji wa kisasa alisema kuwa, "Katika habari za maigizo ,gazeti hili limezipa nafasi kubwa sana. Katika uhusiano wa kiwango na usahihi wa habari zake za maigizo, gazeti hili ni bora kuliko magazeti mengine ya kila wiki.

Mhariri mkuu wa gazeti la The Era mwaka 1838 anaitwa nani?

  • Ground Truth Answers: Leitch RitchieLeitch RitchieLeitch Ritchie

  • Prediction: